
kiukweli inasikitisha, lakini bado alisisitiza kwa kusema 'hakuna dhambi kubwa hapa duniani kama uoga' na ' watatupiga kwa mabomu na watatu ua kwa risasi lakini na wao watakufa kwa presha ya dhambi



Alisema: “Kisheria bado ni mke wangu kwa kuwa nilikuwa
nimempa talaka moja tu wala hazikufika tatu,” alisema Kushi na kudai
kwamba ndoa yake na staa huyo ilidumu kwa mwaka mmoja na nusu na
kuvunjika kutokana na kutawaliwa na migororo.
HAPA WANANCHI WAKIIVUNJA HOTELI HIYO
Polisi walifanikiwa kuvikamata vichwa hivyo baada ya
kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi karibu na hoteli hiyo ambapo
mbali na vichwa hivyo viwili lakini pia walikamata bunduki mbili aina ya AK47,kofia mbili za jeshi pamoja na simu
nyingi. |



John Tendwa alipaswa kuwa
ameondoka kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, tangu mwaka 2008,
alipofikisha umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria. Aliendelea kufanya kazi
zake hata baada ya muda wa mkataba wake
alioongezewa kuwa umefikia mwisho, hivyo alikuwa anakalia ofisi hiyo ya umma,
kinyume cha sheria.Ametumia muda huo wa miezi kadhaa, aliokuwa
anakalia ofisi ya umma kinyume cha sheria, kuropoka na kuharibu demokrasia, kwa
manufaa ya mamlaka iliyomteua na CCM. Kutokana na mwenendo (maneno na matendo)
wake mbovu, CHADEMA ilitangaza kutokumpatia ushirikiano wowote, yeye kama
Tendwa. Ikamtangaza kuwa adui wa demokrasia nchini.



Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu.
