



| Rais Pierre Nkurunziza. |

Aidha nae Hawamu Juma ambae ni mkazi wa
Arusha maeneo ya Unga Limited ambae ni Mwanasheria maarufu Mkoani humo
alioneshwa kusikitishwa sana na tukio na kuwashauri wazazi wa wasichana
hao kumtafuta kwa ajili ya kuwafungulia mashtaka wasanii hao![]() |
| Matukio kama haya ya watu kujichukulia sheria mikononi na kuwauwa wenzao kwa kuwachoma moto yamekithiri katika jamii na ndiyo yaliyosababisha ajuza watatu kuuwawa kikatili usiku wa kuamkia leo huko Bunda, Mara |



