Tuesday, January 03, 2017

ANGALIA PICHA ZA BABU MWENYE MIAKA 77 MWENYE NGUVU ZA AJABU AKIVUTA GARI KWA SHINGO....!!!

meet-the-77-years-old-strongest-man-in-akwa-ibom-photos-2
 
Babu wa miaka 77 kutoka mji wa Akwa Ibom, nchini Nigeria ambaye ana uwezo wa kuvuta gari kwa kutumia shingo yake.

Babu huyo amefahamika kwa jina la Sampson, ila yeye anataka afahamike kwa jina la African Superman, ana uwezo pia wa kuweka mkono wake juu na wanaume 10 wakabembea bila kuushusha mkono wake chini.

meet-the-77-years-old-strongest-man-in-akwa-ibom-photos-5  meet-the-77-years-old-strongest-man-in-akwa-ibom-photos-6 meet-the-77-years-old-strongest-man-in-akwa-ibom-photos-7 
Pia ana uwezo wa kutafuna chupa, kuvuta gari kwa kutumia meno, na hata wanaume 15 wenye nguvu wakijaribu kuvutana naye, hujikuta wakishindwa. Like page yetu facebook ya Jambo Tz.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...