Friday, January 22, 2016

ANGALIA PICHA ZA RAIS DR. MAGUFULI AKIWA KATIKA VAZI LA JESHI...!!!

http://jambotz8.blogspot.com/

http://jambotz8.blogspot.com/
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dr. Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.
http://jambotz8.blogspot.com/
Rais Magufuli akiwa amevalia sare za kijeshi amesimamishwa na kuwasalimu wananchi katika maeneo ya Sanawali, Tekniko, Ngarenalo, Mbauda, Majengo Na Kisongo

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na mambo mengine kesho tarehe 23 Januari, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kundi la 57/15.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...