Sunday, November 03, 2013

CHELSEA YAFUMULIWA 2-0 NA NEWCASTLE, MAN CITY YAPIGA MTU 7-0 ENGLAND

article-2483669-1924F49800000578-379_634x411_69528.jpg
article-2483669-192508D100000578-811_634x561_0ff39.jpg
Mourinho akimpongeza kocha wa Newcastle baada ya mechi
MABAO ya Yoan Gouffran na Loic Remy yameipa Newcastle ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea katika Ligi Kuu ya England leo, huku Manchester City ikiifumua Norwich 7-0.
Gouffran alifunga bao lake dakika ya 68 na Remy akafunga dakika ya 89 katika mchezo huo ambao timu ya Jose Mourinho ilikamatwa kila idara.
article-2483669-1924F51B00000578-967_634x471_3689c.jpg
Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech, Ivanovic, Terry, Luiz, Cole, Lampard/Schurrle dk70, Ramires, Oscar, Mata/Willian dk62, Hazard, Torres/Eto'o dk62Newcastle: (4-4-2): Krul 7; Debuchy 7, Williamson 6, Yanga-Mbiwa 6, Santon 6; Sissoko 8, Cabaye 7, Tiote 6 (Anita 53, 7), Gouffran 7 (Obertan 84); Shola Ameobi 5 (Cisse 62, 6), Remy 7.
Newcastle: Krul, Debuchy, Williamson, Yanga-Mbiwa, Santon, Sissoko, Cabaye, Tiote/Anita dk53, Gouffran/Obertan dk84, Shola Ameobi/Cisse dk62 na Remy.
 

Nayo Manchester City imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo mwingine wa ligi hiyo. Mabao ya City yamefungwa na Johnson aliyejifunga dakika ya 16, Silva dakika ya 20, Nastasic dakika ya 25, Negredo dakika ya 36, Toure dakika ya 60, Aguero dakika ya 71 na Dzeko dakika ya 86.
Kikosi cha Man City kilikuwa: Pantilimon, Zabaleta, Demichelis, Nastasic, Clichy, Nasri/Milner dk71, Fernandinho, Toure, Silva/Jesus Navas dk73, Aguero, Negredo/Dzeko dk45.
Norwich: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Johnson, Whittaker/Murphy, Howson, Fer , Pilkington na Hooper/Elmader dk45.
article-2483677-1926313A00000578-606_634x423_e8c19.jpg
article-2483677-192635C500000578-721_634x300_35d45.jpg
article-2483677-1925392500000578-946_634x423_75fe5.jpg 
Chanzo:bongostaz

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...