Saturday, September 07, 2013

PICHA ZAIDI ZA MATUKIO YA VURUGU ZA JUZI BUNGENI...!!!



IMG_0073IMG_0104
IMG_0119 IMG_0124Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Askari wa bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania wakimdhibiti Mhe mbunge wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi a.k.a Suga ndani ya bunge wakati akitolewa ndani ya ukumbi wa bunge hilo mjini Dodoma leo. Picha kwa hisani ya Abuubakari Nasibu.





IMG_0131
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

wakuu hii ni aibu, sasa huyo mbunge ndio kafanya nini, kweli kutafuta kura za 2015 si mchezo, watu wataanza hata kukojoa bungeni ili waonekana nao wamo

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...