Ndani
ya ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata
utandawazi, vumba vina luninga, imesha aanza kuchukuwa wageni wa kulala
na ipo karibu na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden

Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia £170 kwa usiku mmoja


Nyumba
hiyo ya wageni ambayo sasa iko tayari kwa biashara imewekwa karibu na
uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm, Sweden


Moja ya chumba katika ndege hiyo


Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi


Sehemu ya kupumzikia
Tembelea http://jambotz8.blogspot.com/ kila siku.
Tembelea http://jambotz8.blogspot.com/ kila siku.





No comments:
Post a Comment