Tuesday, August 27, 2013

MAN U, CHELSEA HAKUNA MBABE



Beiki wa Chelsea, Ashley Cole (kushoto) akikwaana na Wyne Rooney wa Manchester United.
Mshambuliaji wa Manchester United, Wyne Rooney (kushoto)  akijaribu kupiga shuti langoni mwa Chelsea.
Mourihno na Moyes wakisalimiana kabla ya mechi hiyo.


Hapiti mtu hapa: Beki Ashley Cole akimdhibiti, Robin Van Persie 'RVP'.
Manchester United na Chelsea leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya 0-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mechi hiyo imepigwa katika uwanja  wa Old Trafford.
Vikosi katika mechi hiyo vilikuwa hivi:
Man United: De Gea, Jones, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia (Young 67), Cleverley, Carrick, Welbeck (Giggs 78), Rooney, Van Persie.

Waliokuwa benchi: Anderson, Smalling, Lindegaard, Kagawa, Buttner.

Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Terry, Cole, Ramires, Lampard, De Bruyne (Torres 60), Oscar, Hazard (Azpilicueta 93), Schurrle.

Waliokuwa benchi: Essien, Mikel, Lukaku, Schwarzer, Mata.
PICHA NA: AP, GETTY IMAGES

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...