Sunday, September 22, 2013

MATUKIO YALIYOJILI KATIKA MKUTANO WA KATIBA ULIOFANYIKA VIWANJA VYA JANGWANI JANA







 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Azaveli Lwaitama.




 Askofu Zakaria Kakobe akihutubia katika Mkutano wa Katiba Viwanja vya Jangwani.




 Mbunge wa Ubungo Mh John Mnyika akihutubia katika Mkutano wa Katiba Ulioitishwa na Umoja wa Vyama vya siasa, Wanaharakati na Viongozi wa Dini.




 Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu akihutubia katika mkutano wa Katiba katika Viwanja vya Jangwani Dar es salaam.




 Mwanasheria wa Chadema Mh Mabere Marando akihutubia mamia ya wakazi wa Dar es salaam Katika Mkutano wa Katiba.




 Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mh James Mbatia akihutubia wakazi wa Dar es salaam katika Mkutano wa suala la katiba uliofanyika katika viwanja vya Jangwani.



Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano uliojumuisha Vyama vya Siasa, Wanaharakati na taasisi za Dini kujadili Suala la Mchakato wa Katiba unaoendelea.



Wenyeviti wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote . Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa ADC, Lucas Limbu  Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa (UPDP), Fahmi Dovutwa. Picha Zote na Francis Dande

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...