Wednesday, July 31, 2013

ZIDANE AWAFUNGUKIA SPURS, AWATAKA WAMPE NAFASI YA KUCHEZA REAL MADRID KUTIMIZA NDOTO ZAKE



 Touch down: Gareth Bale arrives at Heathrow Airport from Hong Kong in the early hours  
Gareth Bale alipokuwa akiwasili uwanja wa  Heathrow akitokea Hong Kong  baada ya kupata majeruhi
Nothing to smile about: Bale, who may be subject of a world record £85m bid from Real Madrid, clearly has a lot on his mind on his return to London 
Hakuna tabasamu: Bale, anaweza kuwa mchezaji ghali zaidi duniani akimzidi Ronaldo kama dili la usajili wake wa pauni milioni 85 litakamilika kwenda Real Madridi, lakini wakati akiwasili London alionekana kuwa na mawazo mengi kichwani mwake.
Zidane alisisitiza kuwa : “Kama mchezaji ameonesha nia ya kujiunga na Madrid, basi Tottenham wampe ruksa ya kuzungumza na sisi. Nafasi ya kuichezea Real Madrid huwa inatokea mara moja katika maisha ya mchezaji na inaeleweka kuwa Gareth Bale hataki kukosa nafasi hii muhimu”.
On his way? Gareth bale is set for talks with Spurs over a world record £85million move to Real Madrid 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Mshambuliaji nyota wa Tottenham,  Gareth Bale anatarajia kuripoti mazoezni leo hii  baada ya kuondoka kwa matatizo ya majeruhi, huku miamba ya soka la Hispania, klabu ya Real Madrid ikiongozwa na lejendari ikiendelea kumshawishi nyota huyo kuihama klabu yake na kujiunga na La Liga ili kutimiza ndoto zake kisoka.

Katika hali ya kushangaza, mwenyekiti wa Tottenham Spurs,  Daniel Levy  anafikiria kuingia katika mbio za kuiwania saini ya mshambulaiji wa Liverpool, raia wa Uruguay,  Luis Suarez  endapo Real watafika dau wanalohitaji.

Jumanne ya wiki hii, mkurugenzi wa michezo wa Real Madrid, Zinedine  Zidane  alisema Bale  anaweza kuwa mchezaji bora wa duniani.

Zidane alisema “Inakuwa hali isiyo ya kawaida pale inapotangazwa kuwa mchezaji anawaniwa na Real Madrdi. Hakuna kitu kingine cha heshima zaidi ya kuvaa jezi nyeupe ya Real Madrid”.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...