Friday, July 26, 2013

FABREGAS AFUNGUKA, ATAMANI KUJIUNGA NA MOYES, VAN PERSIE OLD TRAFFORD


Uncertain future: Cesc Fabregas could leave Barcelona for Manchester United 
Haijulikani hatima yake: Cesc Fabregas  anaweza kujiunga na Manchester United
Lakini ukweli ni kwamba  Fabregas amewaambia maswahiba wake wa England kuwa anataka kuondoka Camp Nou, na hii inawapa moyo zaidi kumnasa.

Inafahamika kuwa Fabregas amevutiwa na ahadi nzuri ya kucheza muda wote katika kikosi cha United na anapenda kujiunga na nyota mwenzake wa zamani wa Asernal, “Hakunaga” Robin Van Persie ambaye kwa sasa ndio roho ya ushambuliaji ya pale Old Trafford.

Fabregas anaamni kuwa ataweza kutwaa ubingwa na United msimu ujao kama alivyofanya akiwa na Barca msimu uliopita. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 akiwa na Arsenal alitwaa kombe la FA na ngao ya Hisani akiwaEmirates.
Lure: The prospect of linking up with Robin van Persie again is tempting FabregasFabregas anashawishika kujiunga na Van Persie

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com

Hatimaye ukimya wavunjwa!!, Kiungo mahiri wa FC Barcelona, Cesc Fabregas amewaambia marafiki zake wanaocheza soka nchini England kuwa anataka kuihama klabu yake na kujiunga na Manchester United.

Nyota huyo amekuwa gumzo katika harakati za usajili baina ya Barca na United ambapo mashetani hao wekundu wametuma ofa inayozidi pauni milioni 30 ili kuinasa saini ya mataalamu huyo wa  kandanda mzaliwa wa Katalunya nchini Hispania.

Kocha wa United, David Moyes aliwaambia waandishi habari jana nchini Japan kuwa jitihada za kumshawishi nyota huyo wa zamani wa Arsenal bado zinaendelea na inafahamika kuwa wameshatuma ofa nyingine.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...