Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,
akitia saini kitabu cha maombolezi ya Padri Evarist Gabriel Mushi,
katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, ambapo alifika kutoa
salamu ya mwisho kwa Padri huyo aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu
wasijuilikana Jumapili iliyopita, na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya
ya Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Zanzibar Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi, aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikana Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja,(katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
Baadhi
ya Waombolezaji wakiwa ndani ya Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar
wakati wa kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar
Augustino Shao wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili Mjini
Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,
akiwasalimia wananchi wakati alipofika katika Kanisa la Minaramiwili
Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikana Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]