
Mabomu ya machozi yalipigwa ili kuzuia wafanyabiashara wasilete vurugu

Maduka yakiwa yamefungwa

Wafanyabiashara hao walichoma matairi ili kuwazuia polisi wasiweze kuwafikia







Mkurugenzi wa Idara ya Habari Malelezo,
Assah Mwamebene, alitoa onyo hilo ofisini kwake jana na kuongeza kuwa
ameziandikia barua kampuni hizo, zijieleze ni kwanini zinafanya hivyo.






| Mmoja wa wakazi wa Rugelele kata Rujewa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya DUKA MKWILA[20]ni miongoni mwa wananchi waliopiga simu za uongo katika kikosi cha zimamoto mkoa wa mbeya akiwa amepewa adahabu ya kuosha gari la zimomoto |
Hata hivyo DUKA alikiri kutenda kosa na kuomba
msamaha kwa jeshi hilo ambapo aliachiwa huru na kisha kurejea kwao huku
akijutia kosa alilolifanya na kuahidi kutorudia tena. |