Monday, June 09, 2014

DALADALA ZAGOMA TENA MBEYA... WAKISHINIKIZA NAULI IONGEZWE HADI TSH 500, MALORI YATUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA...!!!

Moja kati ya malori yanayotumika kusafirishia abiria siku ya leo.


Askari wakifanya doria kuhakikisha usalama unakuwepo.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz





Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz






Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Uyole na Stand kuu jijini Mbeya zimegoma kusafirisha abiria kwa madai ya kuongezwa nauli toka sh. 450/= hadi sh. 500/= Endelea kufuatilia hapa. Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz


Picha na Mbeya yetu Blog

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...