Sunday, December 22, 2013

DUUUUUH...!!! WASANII WETU MIZINGUO TU, ANGALIA MAKOSA KWENYE MOVIE MPYA YA RAY


kwenye scene hii anaonekana camera man kwa mbali ukiangalia kwenye viio vya nyumba io ni baada tu ya wazee wao kurudi kutoka Zanzibar 
....

Wakati Ray anaongea na mpenzi wake wa siri wakati mpenzi wake huyo akiogelea huku akimueleza Ray historia yakeya maisha kwa ufupi.....
 Wakati Ray amepigiwa simu na mwanasheria wake kwamba anatakiwa aende ili aelezwe jambo fulani alilolifanya mama yake..... picha ya upande wa kulia inaonesha ray akiongea..... na kwa nje utaona ukuta mrefu na mweupe  lakini shot ya pili yani baada ya sekunde tu inaonesha yupo sehemu nyingine kabisa lakini akiendeleza mazungumzo yale yale.......

Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa kulike page ya Jambo Tz

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...