
JINA
LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR,NI MTU WA RUVUMA
MNGONI...,,,,MNGONI,LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,MWAKA
1982.YEYE NI MTOTO WA MWISHO KWAO,KWA BABA AKIWA MTOTO WA 10,KWA MAMA
AKIWA MTOTO WA 6.
NGWAIR
ASILI YAKE NI RUVUMA,YAANI MNGONI, ALIZALIWA MBEYA,A KIWA MIAKA 5
WALIHAMIA MOROGORO AKASOMA SHULE YA MSINGI BUNGO HADI DARASA LA 5,BABA
YAKE AKAPATA UHAMISHO AKAHAMIA DODOMA,SO AKAHAMA NA BABA YAKE AKAENDA
AKAMALIZA SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA.BAAADAE MAZENGO SEC,THEN CHUO
CHA UFUNDI MAZENGO

Prod
Mbezi aliyetengeneza wimbo huu anasema "hii ni ngoma ambayo chidy benzi
alilia kwanza studio wakati anarekodi,pili ameimba kwa hisia sana na
tatu mimi na yeye na ibra da hulser ndo tuliokesha studio kuonyesha
ishara ya kumuenzi kaka yetu"




















