Zile
picha za kundi la Ze Komedy la linalorusha kipindi chake kupitia
televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na
mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria kuahidi kuzisaidia familia za wazaza wa mabint hao.
Wakitoa maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo ni unyanyasaji ambao haukubariki hata kidogo naziomba familia za mabint hao kuchukuwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kushtaki ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wanaopenda kudhalilisha watu wengine kwa masrahi yao binafsi" Alisema Fortunatus Kasomfi ambae ni mtanzania anaeishi nchini Afrika Kusini
Aidha nae Hawamu Juma ambae ni mkazi wa Arusha maeneo ya Unga Limited ambae ni Mwanasheria maarufu Mkoani humo alioneshwa kusikitishwa sana na tukio na kuwashauri wazazi wa wasichana hao kumtafuta kwa ajili ya kuwafungulia mashtaka wasanii hao

"
Napenda kuwashauri wazazi wa wabinti hao kama wanahitaji msaada wa
kisheria wanitafute kupitia simu namba 0713-146416 nitawapa mawazo ya
kitaalam ya kisheria ili wasanii hao wafikishwe mahakamani" Alisema Mwanasheria huyo.