Jeshi
la polisi nchini malawi wanamshikilia kijana mmoja baada ya kumkuta
akiuza sehemu ya siri ya mwanaume.kijana huyo mwenye miaka 24 alikamatwa
baada ya wananchi kutoa ripoti kituo cha polisi kuwa kunamzee kalala
relini huku akiwa anatokwa damu nyingi ndipo polisi walipofika eneo la tukio na kumkuta mzee huyo akiwa hio na kuamua kumkimbiza hosipitali.
Mtuhumiwa Samuel Banda
Baada
ya kufikishwa hosipitali ndipo madaktari walipo gundua kuwa mzee huyo
alikuwa amejeruhiwa kwa kukatwa sehemu zake za siri,mara moja madaktari
walilipoti wa maofisa hao wa polisi na ndipo msako mkali ulipo pita
katika wilaya ya Lakeshore huko mjini Salima na polisi hao kufanikiwa
kumtia mbaroni kijana huyo baada ya kumkuta kijana huyo akiwa ktk gesti
bubu akijaribu kuuza uume huo kwa dola za kimarekani 360.
Polisi
walisema mtuhumiwa Samuel Banda alikamatwa na kiungo hicho ambacho
alikuwa amekifunga ktk karatasi nyeupe na mtuhumiwa alikiri kuwa huwa
anauza viungo mbalimbali vya binadamu kwa wafanya biashara maarufu
nchini humo ambao wanaamini wakivipata viungo hivyo huwasaidia katika
biashara zao na huwaongezea utajiri.
Mtuhumiwa Samuel Banda
No comments:
Post a Comment