Nape
Moses Nnauye Katibuwa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na waandishi
wa habari leo mchana katika makao makuu ya CCM Lumumba ofisi ndogo ya
chama jijini Dar es salaam kuhusu maamuzi ya vikao vya chama
vilivyomalizika mjinDaodoma hivi karibuni.
…………………………………………………………………………………..
Kati ya tarehe 13/02/2014 na tarehe 18/02/2014 kumekuwa na mfululizo wa vikao kadhaa vya Chama kitaifa vilivyoshughulikia suala la maadili ndani ya Chama.
Vikao hivyo ni pamoja na Kamati Ndogo ya Udhibiti tarehe 13-14/02/2014, Tume ya Udhibiti na Nidhamu 18/02/2014 na Kamati Kuu tarehe 18/02/2013.
Waliohojiwa katika mfululizo wa vikao hivi ni wafuatao:-
1. Ndg. Frederick Sumaye
2. Ndugu Edward Lowasa
3. Ndugu Bernard Membe
4. Ndugu Stephen Wassira
5. Ndugu January Makamba
6. Ndugu William Ngeleja

Baada ya kuwahoji ilithibitika
kuwa baadhi ya tuhuma dhidi yao ni za kweli na hivyo kupendekeza
adhabu. Mapendekezo hayo yalipelekwa kwenye Tume ya Udhibiti na Nidhamu
na hatimaye Kamati Kuu ya CCM ambayo ilitoa adhabu kwa wahusika.
Kwa ujumla waliohojiwa wamethibitika kuwa na makosa yafuatayo:-
Kwa ujumla waliohojiwa wamethibitika kuwa na makosa yafuatayo:-
1. Walithibitika kuanza kampeni
za kutafuta kuteuliwa kugombea Urais kabla ya wakati kinyume na Kanuni
za Uongozi na Maadili za CCM Toleo la Februari 2010, Ibara 6(7)(i).
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-like page ya facebook ya Jambo Tz