Thursday, December 19, 2013

TAZAMA PICHA YA NDEGE ILIYOTUA KWA DHARURA KATIKA UWANJA MDOGO WA NDEGE WA ARUSHA BADALA KIA



http://jambotz8.blogspot.com/


http://jambotz8.blogspot.com/
 Ndege ya abiria aina ya Boeing 767 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama  nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha


 Tairi la mbele ya Ndege ya abiria aina ya Boeing 767 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines)likiwe limezama kwenye mchanga nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha




Taswira ya picha eneo la tukio
Ndege ya abiria aina ya Boeing 767 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) ikiwa imesimama  nje kabisa ya uwanja wa ndege wa arusha 

--

Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopia Airlines ikiwa na abiria zaidi ya 300 imetua kwenye majani wakati ikijaribu kutua kwa dharura katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha Airport, mkoani Arusha.

Ndege hiyo imetua katika uwanja huo unaotumika na ndege ndogo tu, baada ya kushindwa kutua uwanja wa ndege wa KIA, kufuatia kuwepo ndege iliyoharibika kwenye njia ya uwanja huo.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...