Serikali
ya Sierra Leone imetangaza siku tatu za marufuku kaskazini mwa taifa
hilo, ili kuruhusu jitihada za kukabiliana na kuenea zaidi kwa ugonjwa
hatari wa Ebola.
Msemaji wa serikali amesema kuwa maduka na masoko
yatafungwa na hakuna magari ya abiria au pikipiki zitakubaliwa kwenye
barabara za eneo hilo.Sherehe za makanisa kuadhimisha sherehe za siku ya Krismasi pia zimepigwa marufuku.
Sierra Leone ni mojawapo ya mataifa ya Afrika magharibi ambayo yalikumbwa pakubwa na ugonjwa huo wa ebola. Asante kwa kutembelea blog hii ya Jambo Tz, ili kuboresha blog yetu tunatoa fulsa ya kutangaza matangazo mbalimbali na pia kutoa maoni yako kupitia namba ya simu (WhatsApp & SMS) 0715 221198, E-mail jambotz8@gmail.com. Merry Chistmass & Happy New Year.
No comments:
Post a Comment