Mapema
Dar es salaam jana Waziri wanchi ofisi ya waziri Mkuu sera na uratibu
wa shughuli za Bunge Wiliam Lukuvi alisema Serikali inafuatilia kwa
karibu kesi zinazowahusisha Watanzania waliopo nje ya nchi
wanaotuhumiwa na biashara ya dawa za kulevya wakiwemo wanamichezo na
wasanii mbalimbali.
Alisema ilikuthibitisha hali hiyo timu ya watendaji imetumwa nchini Afrika kusini hivi karibu ili kukutana na kina Masogange kujua undani wa kesi yao na imethibitika kuhusika kweli na tuhuma hizo ambapo inasadikiwa jana kesi yao imesomwa rasmi na kusubiri hatua zaidi za kisheria.
Akizungumzia taarifa za kukamatwa kwa mwanamichezo Kaniki na Matumla Lukuvi alisema taarifa hizo zitatolewa ufafanuzi zaidi na Serikali baada ya kupokea taarifa za kiofisi kutoka nchini Ethiopia.