STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Alhamisi iliyopita
alijikuta akiutibua msafara wa Rais wa Zanzibar, Dk. Mohamed Shein
kufuatia kuondoka kwenye msiba wakati ilitangazwa kiongozi huyo ndiye
aliyetakiwa kuanza kuondoka.
DIAMOND AINGIA
Awali, wakati waombolezaji wamekaa wakiusubiri mwili wa marehemu ufike, ghafla Diamond aliibuka akisindikizwa na kundi la wapambe mpaka alipokaa.
Diamond alipofika aliwekwa mstari wa mbele ambako walikaa ndugu wa karibu na watoto wote wa marehemu.
MC ATANGAZA ITIFAKI YA SERIKALI
Mwili ulipowasili, ratiba ya mazishi ikatangazwa na MC ambapo alitaja utaratibu wa mazishi mpaka watu watakaotakiwa kuweka mashada ya maua kaburini, akiwemo Rais Shein.
Baada ya mazishi, Mwongoza Shughuli ambaye jina halikujulikana aliwaomba watu wote wazingatie itifaki ya usalama wa taifa kwamba ni lazima viongozi wote wa serikali waondoke ndipo waombolezaji wengine watawanyike. “Jamani naomba sana itifaki izingatiwe, asiondoke mtu yeyote kabla ya viongozi wetu wa serikali, akiwemo Rais Shein hawajaondoka,” alisema MC huyo.
DIAMOND APUUZA, ANYANYUKA
Baada ya MC huyo kutoa mwongozo, watu wote walitulia wakisubiri kiongozi wa kwanza kuondoka ambaye alikuwa ni Rais Shein kama itifaki ilivyotaka.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Ishu hiyo iliyotafsiriwa kama jeuri ya staa huyo ilitokea Mbuzini
Mjini Magharibi, Zanzibar baada ya kumalizika kwa mazishi ya baba wa
Wema Sepetu, aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania Urusi, Jamhuri ya
Kidemokrasi ya Kongo na Waziri wa Elimu wa zamani katika Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar, marehemu Isaac Abraham Sepetu.
DIAMOND AINGIA
Awali, wakati waombolezaji wamekaa wakiusubiri mwili wa marehemu ufike, ghafla Diamond aliibuka akisindikizwa na kundi la wapambe mpaka alipokaa.
Diamond akiwa mstari wa mbele wakati wa mazishi ya Balozi Sepetu.
AWEKWA MSTARI WA MBELEDiamond alipofika aliwekwa mstari wa mbele ambako walikaa ndugu wa karibu na watoto wote wa marehemu.