Mourinho akimpongeza kocha wa Newcastle baada ya mechi
MABAO ya Yoan Gouffran na Loic Remy
yameipa Newcastle ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea katika Ligi Kuu ya
England leo, huku Manchester City ikiifumua Norwich 7-0.
Gouffran alifunga bao lake dakika ya
68 na Remy akafunga dakika ya 89 katika mchezo huo ambao timu ya Jose
Mourinho ilikamatwa kila idara.
Kikosi cha Chelsea kilikuwa: Cech,
Ivanovic, Terry, Luiz, Cole, Lampard/Schurrle dk70, Ramires, Oscar,
Mata/Willian dk62, Hazard, Torres/Eto'o dk62Newcastle: (4-4-2): Krul 7;
Debuchy 7, Williamson 6, Yanga-Mbiwa 6, Santon 6; Sissoko 8, Cabaye 7,
Tiote 6 (Anita 53, 7), Gouffran 7 (Obertan 84); Shola Ameobi 5 (Cisse
62, 6), Remy 7.
Newcastle: Krul, Debuchy, Williamson,
Yanga-Mbiwa, Santon, Sissoko, Cabaye, Tiote/Anita dk53, Gouffran/Obertan
dk84, Shola Ameobi/Cisse dk62 na Remy.
Nayo
Manchester City imeshinda mabao 7-0 dhidi ya Norwich City katika mchezo
mwingine wa ligi hiyo. Mabao ya City yamefungwa na Johnson aliyejifunga
dakika ya 16, Silva dakika ya 20, Nastasic dakika ya 25, Negredo dakika
ya 36, Toure dakika ya 60, Aguero dakika ya 71 na Dzeko dakika ya 86.
Kikosi cha Man City kilikuwa:
Pantilimon, Zabaleta, Demichelis, Nastasic, Clichy, Nasri/Milner dk71,
Fernandinho, Toure, Silva/Jesus Navas dk73, Aguero, Negredo/Dzeko dk45.
Norwich: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Johnson, Whittaker/Murphy, Howson, Fer , Pilkington na Hooper/Elmader dk45.
Chanzo:bongostaz
No comments:
Post a Comment