
Maelfu ya Wananchi wa Kata ya kikuyu kusini wakiandamana katika mitaa ya mji wa Dodoma kwa ajili ya kupinga kubomolewa na mamraka ya ustawishaji makao makuu [CDA] wanaotarajia kubomoa nyumba, mapagale na misingi ya wakazi hao.

Mmoja wa wakazi wa Rugelele kata Rujewa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya DUKA MKWILA[20]ni miongoni mwa wananchi waliopiga simu za uongo katika kikosi cha zimamoto mkoa wa mbeya akiwa amepewa adahabu ya kuosha gari la zimomoto |
Hata hivyo DUKA alikiri kutenda kosa na kuomba
msamaha kwa jeshi hilo ambapo aliachiwa huru na kisha kurejea kwao huku
akijutia kosa alilolifanya na kuahidi kutorudia tena. |