Mfanyakazi
wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa nyumbani kwa bosi wake eneo la Kitunda jijini Dar kwa wivu wa mapenzi.
Devotha
alikuwa katika penzi na kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la
Christopher anayedaiwa kuwa na wapenzi wengi kiasi cha kusababisha
marehemu kuchukua uamuzi huo.
Baada ya kuagwa mwili wa Devotha umesafirishwa kuelekea Njombe kwa mazishi.
No comments:
Post a Comment