Friday, March 08, 2013

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: SALMA KIKWETE, DIAMOND, NANCY SUMARI NA WENGINE KIBAO WAFUNGUKA

Leo ni miaka 99 tangu kuanzishwa kwa siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kwa mara ya kwanza March 8, 1914 ambapo mwanzoni ilikuwa ikijulikana kama ‘Siku ya wanawake wafanyao kazi duniani’. 

Ni siku ya kuwapa heshima wanawake, kuwapongeza na kuwaonesha upendo katika jitihada zao kiuchumi, kiasiasa na kijamii.

Katika nchi zingine siku hii imefunika ile ladha ya kuchanganyika na siasa na kuwa siku ya wanaume kuelezea upendo wao wanawake kama ilivyo Mother’s Day na Valentine’s Day. Soma jinsi watu mbalimbali mashuhuri nchini (na kwingineko) wanavyoizungumzia siku hii.
Mama Salma Kikwete
602888_515306958500762_1804884203_n
Leo ni siku ya wanawake Duniani.,ni siku ya kujitazama kama Taifa juu ya hali ya wazazi hawa na walezi wa Taifa hili. Ni siku ya kujipima na kutathimini namna gani, wanawake wamewezeshwa kujitambua na kushirikishwa katika mipango ya maendeleo ya jamii yetu. Tunapofikiri kama Taifa ni namna gani tunaweza kujikomboa katika Umasikini tulionao ni lazima mipango hiyo iende sambamba na mipango na mikakati ya ukombozi kwa wanawake wa Taifa hili. 
Nancy Sumari 529850_10151364540678380_2140979918_n
Even when we are a mess, we still put on vests with ‘S’ on our chests, Oh yes, we are Super Women, and today is our day…Happy Womens day!!

Diamond
dia1
HAPPY WOMEN’S DAY……. I LOVE MY MAMA MORE THAN ANYTHING IN THIS WORLD….SHE HAS BEEN THROUGH ALOT WITH ME…… MUCH LOVE TO ALL WOMEN’S IN THIS WORLD…..!!

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...