Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata ukanda kuzindua rasmi taarifa ya utafiti
wa viashiria vya ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe
Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki.
Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi (TACAIDS) Mama
Fatma Mrisho na
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mhe William
Lukuvi.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akinyanyua juu baada ya taarifa ya utafiti wa viashiria vya
ukimwei na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika ukumbi wa
Karimjee jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiri Ukimwi
(TACAIDS) Mama Fatma Mrisho.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua rasmi taarifa ya
utafiti wa viashiria vya Ukimwi na malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013
katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipitia baada ya kuzindua rasmi taarifa ya
utafiti wa viashiria vya Ukimwi na Malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013
katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam.Kulia kwake ni Waziri
Mkuu Mhe Mizengo Pinda na kushoto kwake ni Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Dkt. Hussein Mwinyi, Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
Meza kuu
ikimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS)
Mama Fatma Mrisho akisoma taarifa ya utafiti wa viashiria vya Ukimwi na
Malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam.
Wadau kutoka sekta
mbalimbali wakiangalia matangazo ya kupiga vita UKIMWI na Malaria wakati
wa uzinduzi rasmi wa taarifa ya utafiti wa viashiria vya ukimwei na
malaria mwaka 2012 leo Machi 27, 2013 katika ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment