Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki nao
katika Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj, iliyofanyika katika Msikiti wa
Anwaar uliopo Msasani, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Ofisi ya
Makamu wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na waumini kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na
Waumini wa dini ya Kiislam katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani
jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Sehemu
ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria katika swala ya Sikukuu ya
Idd El Haj na Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, leo asubuhi katika Msikiti wa Anwaar, uliopo
Msasani jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akijumuika na waumini kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na
Waumini wa dini ya Kiislam katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani
jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. SHukuru
Kawambwa, wakati akiondoka katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani
jijini Dar es Salaam, baada ya kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj
na waumini wa dini ya kiislam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislam, wakati akiondoka
katika Msikiti wa Anwaar, uliopo Msasani jijini Dar es Salaam, baada ya
kushiriki Swala ya Sikukuu ya Idd El Haj na waumini hao leo.
No comments:
Post a Comment