Mwili wa mwimbaji nguli wa muziki wa dansi nchini DR Congo, Papa
Wemba, ambao upo ndani ya Nchi hiyo jana na leo maelfu wamejitokeza
kuuaga mwili na kutoa salamu zao na unatarajia kuzikwa kesho siku ya
Jumatano 04 Mei 2016.
Maelfu ya waombolezaji hao walijitokeza kuadhimisha misa ya wafu kwa heshima ya mwanamuziki nyota huyo wa muziki wa Soukus na Rhumba. Tayari Serikali imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia leo hadi jumatano atakapozikwa kijijini kwao Molokai na utalala kijijini kwake leo na taratibu za mazishi hiyo kesho.

Mwili wa Papa Wemba ukitembezwa mitaa mbalimbali ya Jiji la Kinshasa DR Congo.
Tangaza biashara yako hapa. Pia like page yetu ya facebook Jambo Tz. tu-follow instagram @jambotz.
Kwa ratiba hiyo inaonyesha baada ya mwili huo kulala kwa siku moja katika kijiji cha Papa Wemba na kuendelea na sara na mambo ya mila na kufuatia maziko Papa Wemba alifariki hivi karibuni jijini Abidjan nchini Ivory Coast ambapo awali alipoteza fahamu akiwa jukwaani alipokuwa akitumbuiza baada ya kuanguka na kukimbizwa hospitali.