Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm
amesikitishwa na kitendo cha kuondoka kwa nyota wake Juma Kaseja, Hamisi
Kiiza na Didier Kavumbagu, lakini akawataka wachezaji wake wasahau
yaliyopita na waangalie yajayo.
Pluijm amechukua mikoba ya Marcio Maximo
aliyetupiwa virago baada ya Yanga kufungwa na Simba 2-0 katika mchezo wa
Nani Mtani Jembe kama ilivyokuwa mwaka jana alipoinoa timu hiyo kwa
mara ya kwanza baada ya Ernie Brandts kutimuliwa kutokana na timu hiyo
kunyukwa 3-1 na Simba.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Pluijm
alisema Kaseja alikuwa nahodha, lakini sasa hayupo kutokana na tofauti
zake na viongozi.
Asante kwa kutembelea blog hii ya Jambo Tz, ili kuboresha blog yetu tunatoa fulsa ya kutangaza matangazo mbalimbali na pia kutoa maoni yako kupitia namba ya simu (WhatsApp & SMS) 0715 221198, E-mail jambotz8@gmail.com. Merry Chistmass & Happy New Year.