Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Magufuli akisisitiza jambo kuhusu mgomo uliopangwa
kufanywa na wadau wa usafirishaji nchini wakati akizungumza na waandishi
wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar Es Salaam
Kamanda wa
Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam Kamishna Suleiman Kova akieleza
jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kulinda usalama ili watumiaji wa
barabara wasiweze kupata usumbufu huku akisisitiza kuwa kabla ya Jeshi
la polisi kuchukua hatua za kisheria ni vema vyombo vinavyosimamia
usafirishaji vikachukua hatuaKushoto ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John
Magufuli
Baadhi ya
Maafisa wa Wizara ya Ujenzi na Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa
makini maelezo toka kwa Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli.
Picha Zote na Eliphace Marwa (MAELEZO)