|
Wakazi wakishuhudia basi la kampuni ya Hood lililopinduka jioni hii maeneo ya Doma, Morogoro. |
|
Upande wa chini wa basi la Hood |
|
Wakazi wa eneo la Doma nje kidogo ya mji wa Morogoro wakitafakari tukio kwa huzuni |
Mtu
mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited
lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela
Mvomero, Mkoani Morogoro. CHANZO East Africa Television (EATV)
No comments:
Post a Comment