Mengi
yamekuwa yakisemwa juu ya msanii ambae inaaminika ndiye mfalme wa
muziki wa bongo fleva Wapo wanaosema anatumia nguvu za giza ikiwemo
ushirikina na wapo wanaosema yuko powered na Imani ya Free mason ingawa
TEENTZ tunaamini juhudi na kujituma ndiyo njia pekee ya mafanikio kwa
chochote TEENTZ ilipiga story na Diamond na kueleza moja ya sababu kubwa
why yuko juu na na kila siku ananendelea kuwa juu tofauti na baadhi ya
wanamzki wengine
1-"Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya binadamu,so napenda kumtanguliza Mungu kwa kila nikifanyacho"
2-"Sipendi
starehe,kutumia pesa vibaya,naiheshimu sana pesa yangu,matumizi yake
makubwa ni chakula,pengine mafuta kwa ajili ya gari matumizi mengine ya
mhimu kwa binadamu na zaidi naitumia pesa yangu kufanya kitu
kitakachoendelea kumantain muziki wangu"
4-"Nampenda sana mama angu na pengine kuna thawabu ninazozipata kwa kitendo hicho"
Hizo
ndizo reason chache alizotoa Diamond kuhusu yeye kuendelea kuwa on the
pick na ni wazi kabisa ndani ya reason kama hizo ni binadamu wachache
sana watakaoshindwa kufanay vizuri ama kupata maendeleo.
No comments:
Post a Comment