Mkurgenzi Mkuu wa Shirika la taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhani Dau akifafanua jambo mbele ya
wajumbwe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu walipofanya ziara ya
kuangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi wa daraja la Kingamboni jijini
Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau (wa pili kushoto) akiangalia
maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakati Kamati ya Bunge ya
Miundombinu ilipotembelea mradi huo leo. Kushoto ni Mhandisi wa NSSF,
John Msemwa.
Mhandisi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), John Msemwa akitoa mada
wakati Kamati ya Bunge ya miundombinu ilipotembelea mradi wa ujenzi wa
daraja la Kigamboni..
Naibu Waziri wa
Ujenzi, Gerson Lwenge akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea mradi wa Ujenzi
wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
Ujenzi, Gerson Lwenge akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea mradi wa Ujenzi
wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu
ikiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo.
Mafundi wakiwa kazini.
Mafundi kazini.
Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Peter Selukamba (kushoto) akiwa na Naibu Waziri
wa Ujenzi, Gerson Lwenge wakati kamati hiyo
ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Peter Selukamba (kushoto) akiwa na Naibu Waziri
wa Ujenzi, Gerson Lwenge wakati kamati hiyo
ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Hapa moja ya za daraja la Kigamboni
itawekwa hapa.
Mhandisi
wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Karim Mattaka akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu walipotembelea kuangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi
wa daraja la Kigamboni. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Peter Selukamba.

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Juma
Kintu akiwa na Ofisa wa Trafic, Peter.
Mhandisi wa NSSF, John Msemwa akitoa
ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni kwa Mkufugenzi
Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau (kulia)
Zege ikimiminwa katika moja ya nguzo za
daraja hilo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Peter
Selukamba (kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge wakati kamati
hiyo ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
Selukamba (kushoto) akiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge wakati kamati
hiyo ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment