SIMBA IMESHADUNGWA MSHALE 1-0 NA LIBOLO FC YA ANGOLA,
Mchezaji
wa timu ya Simba ya Tanzania Shomari Kapombe kulia akichuana vikali na
Maieco Antonio mchezaji wa timu ya Libolo FC kutoka nchini Angola
wakati wa mchezo wa Klabu Bingwa Afrika ( CAF) kati ya timu hizo
uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Timu ya Libolo
FC ya Angola inaongoza goli 1-0 dhidi ya Simba ya Tanzania ni kipindi
cha pili na mpira bado unaendelea.
Waamuzi
wa mchezo huo wakiwaongoza wachezaji wa timu ya Simba na Libolo ya
Angola wakati timu hizo zikiingia uwanjani tayari kwa kumenyana katika
mchezo huo.
Wachezaji
wa Simba ya Tanzania na Libolo FC ya Angola wakisalimiana kabla ya
kuanza kwa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa.
Mashabiki
kwa mbali uwanjani hapo wakishuhudia nguo kuchanika wakati timu hizo
zikimenyana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hizi
siyo salakasi il ni harakati za kuwania mpira wakati wa mchezao wa
Simba ya Tanzania na Libolo FC ya ambapo Libolo inaongoza goli 1-0
dhidi ya Simba ya Tanzania
No comments:
Post a Comment