Basi la Burudani baada ya ajali leo Wilaya ya Handeni, Tanga.
Basi la Burudani leo limepata ajali kijiji cha Kwaluguru Kata ya Kwedizinga wilayani Handeni,
Imeripotiwa mpaka sasa watu zaidi ya 12 wamefariki na majeruhi zaidi ya
55. Watu 4 wamepelekwa MOI na KCMC. Tuwaombee majeruhi.

DC wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo akiwa Hospitalini hapo kutoa Huduma kwa Majeruhi.

Wananchi wa Korogwe wakiwa nje ya Hospitali hiyo ya Wilaya ya Korogwe.

Basi lenye namba za usajili T 610 ATR aina ya Nissan la kampuni ya Burudani ambalo limepata ajali leo
Basi lenye namba za usajili T 610 ATR aina ya Nissan la kampuni ya Burudani ambalo limepata ajali leo
No comments:
Post a Comment