"NIKIRUDI TANAZANIA SITAKI MAPOKEZI KWASABABU WATANZANIA NI WANAFIKI"... AGNESS MASOGANGE
Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya
Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8
milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za
kulevya.
Lakini hata hivyo kwa mujibu chanzo chetu toka kwa mtu wa karibu na
familia yake, Masogange amesema hatohitaji mapokezi yoyote
pindi atakapowasili nchini kwa vile hao wanaopanga mapokezi ndio
wanafiki wakubwa ambao walikuwa wanashangilia alipokuwa jela.
No comments:
Post a Comment