Ugomvi wa
chini chini kati ya Chid benz na Ney wa mitego sasa umefikia
pabaya.....
Juzi Ney wa
mitego alionja kichapo toka kwa mashabiki katika show yake
mbagala....Inadaiwa kwamba Varangati hilo lilitokana na madai
yake kwamba Chid benz ni shoga na ametoboa pua kama dem....
Mapema mchana huu
Chidi Benz amefunguka kupitia ukurasa wake ya Facebook na kumtaka NEEMA WA MITEGO(Neema
ni jina la kike ) aache kumtukana wala kumwandika
message zozote.....Vinginevyo ataendelea kuambulia kichapo
Hii ni post
yake
No comments:
Post a Comment