Polisi wakiwa wameimarisha
ulinzi nje
ya jengo la Sukari lililopo mkabala na Makutano ya Barabara za Ohio na
Sokoine
Driver Posta jijini Dar es salaam jengo hilo ndmo zilimo ofisi za
mwendesha
mashtaka wa Serikal Dk.Eliezer Feleshi,
Ulinzi huo umeimarishwa kutokana na tishio la wafuasi wa Shekh Ponda
kutishia
kuandamana kwenda kwa Mwendesha Mashtaka huyokushinikiza Shekh Ponda
aachiwe
huru.
Baadhi
ya wafuasi hao wa
Shekh Ponda wamekamatwa katika maeneo mbalimbali wakati wakijaribu
kuingia
katika eneo la Posta ambapo ulinzi mkali uliimarishwa huku polisi
wakitumia
Magari, Pikipiki, Mbwahuku makachero wakizunguka kila
mahali.
Baadhi
ya Barabara
zilifungwa ili kuweka eneo hilo katika hali ya usalama zaidi na
kuhakikisha
linzdhibitiwa na kulidwa kirahisi.
Baadhi ya
waumini wa Dini ya Kiislamu
wakirushwa kichura leo Katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Dar es
Salaam
walipokamatwa kwa tuhuma za kuandamana kushinikiza Sheikh Ponda aachiwe
kwa
dhamana.
Askari Kanzu akiwa amemkamata muumini wa Dini ya Kiislamu katika pilikapilika za kudhibiti maandamano ya kushinikiza Mahakama imuachie kwa dhamana Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda, Dar es Salaam

No comments:
Post a Comment