RAIS KIKWETE AFUNGUA WARSHA KUHUSU MIKAKATI YA UTEKELEZAJI DIRA YA MAENDELEO TANZANIA 2025
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha maalumu itakayojadili
mikakati ya kutekeleza ili kufikia Dira ya Maendeleo Tanzania 2025
katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo
inaongozwa na Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia aliyebobea katika
masuala ya Uchumi na Maendeleo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib
Bilal(Watatu Kushoto),Waziri Mkuu Mizengo Pinda(wane kushoto) na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wapili kulia) na,Gavana wa Benki Kuu
Profesa Benno Ndulu.Wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
ufunguzi wa Warsha Maalumu itakayojadili mikakati ya kutekeleza ili
kufanikiwa kufikia Dire ya Maendeleo Tanzania 2025 inayofanyika katika
hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo inaongozwa na
Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia(wapili kushoto)(picha na Freddy Maro)
Baadhi
ya Washiriki wanaohudhuria Warsha Maalum itakayojadili mikakati ya
kutekeleza ili kufikia Dira ya Maendeleo Tanzania 2025 katika hoteli
ya White Sands jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo inaongozwa na
Waziri Idris Jala Kutoka Malaysia aliyebobea katika masuala ya Uchumi na
Maendeleo
No comments:
Post a Comment