Baada ya taji la
Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka
baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.
Jana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
kulikuwa na taarifa zinazodai kuwa Lilian siyo raia wa Tanzania na
kwamba anatokea Rwanda.
Akizungumzia tuhuma hizo, Mkurugenzi wa Lino
International Agency ambao ndiyo waandaaji wa mashindano ya Miss
Tanzania, Hashim ‘Uncle’ Lundenga alisema tuhuma hizo kuhusu Lilian siyo
kweli. Asante
kwa kutembelea blog hii na endelea kuwa nasi siku zote, kuwa wa kwanza
kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya
neno Jambo Tz