AMA
kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi
wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na
vitendo vyake.
Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo:
Maajabu mengine ambayo yanawashangaza watu wanaoishi naye ni jinsi anavyokula chakula kwa kumwaga chini kisha kukomba mpaka udongo. “Sina amani ya moyo, naomba Watanzania wanisaidie, mwanangu ananiuma sana, hata kujisaidia ni hapohapo, chakula anakula kupita kiasi, kama nilivyosema hashibi na bado hali kama mwanadamu wa kawaida,” alisema mama wa mtoto huyo.

Mkazi wa Mbezi-Kibanda, Andrea Marcus.
Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa
maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate mikubwa saba kwa
mlo mmoja, amewahi kula mchele (si ubwabwa) ndoo nzima.
Mbaya zaidi baada ya kula milo hiyo huwa haoneshi ameshiba.