Baba
Jukwa, ambaye ni mtoa taarifa ndania ya chama tawala cha Zanu-PF ambaye
anatumia mtandao wa facebook ameanika rushwa na ufisadi katika serikali
ya Mugabe vimekithiri huku taarifa ya kuanguka na kuzirai kwa Mugabe
zikiwa zimezagaa nchi nzima.
Hata
hivyo, aliongeza kuwa Rais Mugabe hali yake ya kiafya si nzuri lakini
katibu wa Rais huyo ndugu George Charamba, alikanusha taarifa hizo
kwamba Mugabe ni mgonjwa.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-like page ya facebook ya Jambo Tz