Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi ya kumiliki mpira na kupiga pasi
Kocha wa Yanga (mwenye jezi ya njano) akifuatilia mazoezi.
van Pluijm akitoa mazoezi kwa mchezaji wa mpaya kigeni wakati wa mazoezi. Nunua gari kwa bei rahisi bofya hapa. Pia tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, na usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.
Deus Kaseke (aliyejishika kiuno katikati) akisikiliza kwa makini maelekezo kutoka kwa kocha wake
Wachezaji wapya wa Yanga wakiwa pamoja mazoezini
Wanandinga wakipiga push-ups kujiweka fiti
Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm akiwa kazini
Kiungo wa Yanga Said Juma ‘Makapu’ akipiga pasi kwa ustadi wakati wa mazoezi leo asubuhi.
Nunua gari kwa bei rahisi bofya hapa. Pia tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, na usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.
No comments:
Post a Comment