Wananchi waliojitoka uwanjani
Huyu nimmoja kati ya walipoteza fahamu uwanjani
zoezi la uuagaji wa mwili ukiendelea
Rafiki
wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini
Afrika Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro
kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo

Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea Morogoro.

No comments:
Post a Comment