RAILA ODINGA ASUSIA ZOEZI LA KUPISHWA KWA RAIS WA KENYA NA KUKIMBILIA AFRIKA KUSINI
Wako kwenye mbuga za wanyama Afrika Kusini wanakula bata ....ni Raila Odinga na wenzake wawili akiwemo Kalonzo Musyoka.
Taarifa
kuhusu kina Odinga na wagombea wenza kwenda Afrika Kusini zimetokea
@FORA_2013 page ya Organisation inayomsupport Odinga aliekua mgombea
Urais kwenye Uchaguzi wa Kenya ambao Uhuru Kenyatta ndio katangazwa
mshindi na anaapishwa leo.
Inadaiwa Raila Odinga na wagombea
wenza wameamua kukwepa kuwepo kwenye kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta
na kuamua kwenda Afrika Kusini .
No comments:
Post a Comment