Mkuu
wa kituo cha Tumaini, Sister Coletha Ponela (kushoto) akifuatana na
mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba pamoja na maofisa wa benki ya CRDB
wakielekea ukumbi wa kituo cha Tumaini.
Meneja
wa tawi la CRDB Njombe, Alison Andrew akiongea na watoto wa kituo cha
Tumaini.
Mkuu
wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akiongea na watoto wa kituo cha
Tumaini.
Watoto
wa kituo cha Tumaini wakiimba mbele ya mkuu wa wilaya na wageni kutoka
benki ya CRDB.
Maafisa
wa Benki ya CRDB wakishusha zawadi walizotoa kwa watoto wa kituo cha
Tumaini.
Mkuu
wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akikabidhi zawadi.
Wafanyakazi
wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika picha ya
pamoja.
Wafanyakazi
wa benki ya CRDB katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo pamoja na
mkuu wa wilaya.
Watoto
wakionyesha michezo ya sarakasi.
Mlezi
wa kituo sister Coletha akipokea akipokea zawadi ya Tshirt kutoka Benki
ya CRDB.
Baadhi
ya wateja wa CRDB Njombe wakiwa katika tafrija na wafanyakazi wa Benki
ya CRDB Njombe.
Njombe
Jazz Band walikuwepo kuburudisha wageni waalikwa.
Wafanyakazi
wa benki ya CRDB Njombe wakionyesha ujuzi mwingine wa kusakata rhumba.
Afisa
Mikopo wa Benki ya CRDB Njombe akitoa somo la mikopo.
Wafanyakazi
na wageni waalikwa wakiburudika kwa muziki.
Mmoja
wa wateja wa Benki ya CRDB Njombe Edward Mwalongo, akitoa ushuhuda wake
namna gani amenufaika kibiashara kupitia benki ya CRDB.