Alisema masanduku yote ya kura yaliyokuwa na kura za chama cha Movement For Democratic Change (MDC) yalitupwa.
MDC kinachoongozwa na waziri Mkuu
Morgan Tsvangirai, kimekuwa katika serikali ya umoja wa kitaifa na rais
Robert Mugabe wa ZANU PF , Umoja ambao umekuwa na mashaka ndani yake.
Uchaguzi nchini Zimbabwe umefanyika mapema Jumatano iliyopita.
Chanzo: bbcswahili
Tuesday, July 30, 2013
MHE. PANDU KIFICHO ALITAHADHARISHA BARAZA LA WAWAKILISHI KUWA MAKINI KUFANYA MAAMUZI YAKE
Na Ali Issa-Maelezo Zanzibar
Spika
wa baraza la wakilishi Zanzibar Pandu ameir kificho amesema Baraza la
wakilishi liwe na Tahadhari sana kufanya maamuzi ambayo utekelezaji wake
umo katika mikono ya Serikali ili kuiepusha Serikali kuja kuingia
katika kitahanani kwa lile amblo kulitimizia Taifa mahitaji yake muhimu.
Hayo
ameyasema leo huko Baraza la wakilishi wakati alipokuwa
akitoa ufafanuzi kwa mwakilishi wa Kwamtipura CCM Hamza Hassan Juma
wakati alipokuwa amezuia kifungu kuipitisha Wizara ya Mifugo na Uvuvi
kwa kusema uagiziaji wa kuku kutoka Nnje uzuuliwe kwani una
uwasokosesha mapato wafugaji wa ndani na kuliua soko lao.
Amesema
si vyema kutoa maamuzi ya moja kwa moja kulilazimisha hilo kuzuia kuku
kutoka nje wasiletwe nchini bila ya kuwa na utafiti wa
kutosha utao bainisha wazi kuwa hawahitajiki kuku wa nje.
kutosha utao bainisha wazi kuwa hawahitajiki kuku wa nje.
“sivizuri
kuzuia fungu hili na kukusema kuku wasiagiziwe kutoka nje bali tuwachie
Serikali wakachunguze ukweli wa hilo na baadae watuleteeripoti,”alisema
Spika.
Aidha
ali sema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina wapenda sana wananchi
wake kuona kua wanafanikiwa katika uzalishaji kwani ndio
lengo la Serikali yao kujikwamua na umasikini na kujipatia kipato wawe makini kuliko kuchukuwa maamuzi ya haraka.
lengo la Serikali yao kujikwamua na umasikini na kujipatia kipato wawe makini kuliko kuchukuwa maamuzi ya haraka.
Monday, July 29, 2013
CHANGUDOA APAWE KICHAPO NA WENZAKE KWA KUUZA MWILI WAKE KWA BEI YA CHINI...!!!
Kwa hali isiyo ya kawaida changudoa
mmoja huko Naivasha Nairobi Alipewe kichapo cha mbwa mwizi Baada ya
kugundulika na wenzake kuwa huwa anauza kwa bei ndogo na saa zingine
huwa anatoa kwa mkopo..kitendo hicho kimelaaniwa na wenzake kwa vile
kinapunguza bei yao na kuonekana kuwa si wa gharama...inafikia kipindi
watu wanaokuja wanamtafuta yeye tu kwa vile ni wa bei ya chini .....
“Kwani unafikiria sisi tutakula wapi
kama utaendelea kujiuza hii bei hasara" Alisikia Changudoa mmoja akisema
huku akishusha kichapo...
Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho... Mteja mmoja alisikika akisema: “Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),”
Watu mbali mbali waliingilia kati na kuanza kumuokoa katika kichapo hicho... Mteja mmoja alisikika akisema: “Unajua huyu mama huwa ananipatia kwa credit on a bad day so siwezi muacha auliwe na hawa wenzake (she offers me services on credit when I’m broke so I can’t let them kill her),”
MAMA AMCHOMWA MWANAE NA MKASI MARA 90 KWA MADAI YAKUMG'ATA ZIWA AKIWA ANANYONYA....!!!
Maskini unyama mwingine hauna hata maana maybe alikuwa amechanganyikiwa |
Kweli ukistaajabu ya Musa.... |
Ni kama miujiza kwa mtoto wa kichina kuwa hai mpaka sasa licha ya
kuchomwa chomwa mara 90 na mama yake mzazi huko China kwa madai kuwa
alimng’ata ziwa mama yake wakati akinyonyeshwa.
Kwa mujibu wa Daily Mail mtoto huyo Xiao Bao mwenye miezi 8 tu ameshonwa
zaidi ya nyuzi 100 ili kuurudisha uso wake katika hali nzuri baada ya
shambulizi hilo lililotokea katika jiji la Xuzhou mashariki mwa China.
Bao anaishi na mama yake pamoja na wajomba zake wawili ambao
wanajishughulisha na ukusanyaji wa taka kwaajili ya kipato. Mmoja wa
wajomba hao ndiye aliyegundua kuwa Bao ameumizwa baada ya kumkuta akiwa
amelala kwenye damu iliyotapakaa nyumbani hapo kabla hajamkimbiza
hospitali
Mama wa mtoto huyo baadaye alikiri kumchoma choma mwanae na mkasi mara
90 hususan eneo la usoni baada ya mtoto huyo kumng’ata ziwa wakati
akimnyonyesha.
Baada ya tukio hilo majirani wa familia hiyo wameiomba serikali
imnyang’anye mama huyo wa kichina mtoto kwa sababu za kiusalama, lakini
ombi hilo limekataliwa kwa madai kuwa hakuna uthibitisho wowote mpaka
sasa kama mwanamke huyo anamatatizo ya akili, lakini wameongeza kuwa
hata hivyo mtoto huyo bado ana walezi wengine wawili anaoishi nao
(wajomba zake)
Mtoto huyo anaendelea kupata nafuu akiwa hospitali.Source: Vijimamo
RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKUMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera
waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya
mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.
PICHA NA IKULU
MDC WALALAMIKIA UCHAGUZI ZIMBABWE....!!!
CHAMA
cha waziri mkuu nchini Zimbabwe kimesema kuwa mmoja wa ofisa wake mkuu
wa chama hicho amekamatwa baada ya kuwasilisha ushahidi wa udanganyifu
mbele ya tume ya uchaguzi nchini humo.
Morgen Komichi aliifahamisha mamlaka
baada ya kugundua makaratasi ya kupiga kura yalikuwa yamewekwa katika
kituo cha kupiga kura mjini Harare ambapo maafisa wa jeshi walipiga kura
za mapema katika uchaguzi huo. (HM)
MAZUNGUMZO BADO YANAENDELEA KATI YA VALENCIA NA TOTTENHAM HOTSPURS JUU YA ROBERTO SOLDADO
Roberto Soldado: Move to Spurs still on the cards
Talks are ongoing between Tottenham and Valencia over the transfer of striker Roberto Soldado, Sky sources understand.
Spurs
manager Andre Villas-Boas has made Soldado one of his top targets over
the summer but is yet to seal the deal. The La Liga side are understood
to be holding out for £25.8m, a fee
that would trigger a release clause in the 28-year-old's contract.
Valencia coach Miroslav Djukic has already admitted he is resigned to
losing Soldado though and Spurs remain favourites to land the coveted
striker.
Soldado
would become Tottenham's third summer signing if he does make the move
to White Hart Lane. Brazilian midfielder Paulinho was the first to
arrive after he signed
from Corinthians for £17m, while Belgian winger Nacer Chadli arrived
from FC Twente for around £7m on 21 July.
SOURCE:SKYSPORTS.COM
MANCHESTER UNITED BOSS DAVID MOYES KEEN TO ADD TO SQUAD
David Moyes: Pondering transfer targets
Manchester United manager David Moyes remains
keen to bolster his squad ahead of the new season - despite being
rebuffed in his attempts to sign Cesc Fabregas from Barcelona.
The
Red Devils have already had two bids for the Spain midfielder rejected
by the Catalans and Moyes is in the dark as to whether the Premier
League champions will up their offer or train their targets elsewhere.
The
Scot said: "I couldn't tell you if there will be another bid.
Obviously we will take stock of it and consider what we are going to do
next. "I never at any time said I knew we would get him. I just said we
had made offers. "But what we have here is a really good squad of
players already. You
mustn't forget about the quality that is already here at Manchester
United.
"Undoubtedly we are hoping to add to it. I am quite confident we will do, certainly before the window shuts."
United have already missed out on one long-time target from Barcelona
over the summer - promising midfielder Thiago Alcantara opted to join
European champions Bayern Munich in a 25m euro deal.Source:skysports.com
Sunday, July 28, 2013
LULU MICHAEL..... "SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"
MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake.
Lulu alisema hayo juzi, katika kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV cha Jijini Dar es Salaam.
“Sasa hivi nasali sana, namuamini Mungu katika maisha yangu na mbali ya kwenda kanisani, pia nasali mwenyewe katika sala zangu.
“Ningependa maisha ya sasa ninayoishi ningeishi siku za nyuma, lakini yote ya Mungu labda maisha yale nisingeyaishi siku za nyuma, ningekuja kuyaishi baadaye,” alisema Lulu.
Katika hatua nyingine, alisema anavutiwa na kazi ya msanii wa bongo fleva, Bernard Paul ’Ben Pol’ ambaye tungo za nyimbo zake zinamkosha kuzisikiliza.
SKENDO KUHUSU KUHUSU NIVA NA WEMA SEPETU KUWA WAPENZI HIKI NDICHO ALICHOKISEMA NIVA.
Siku za hivi karibuni mwigizaji anayefanya vizuri kwasasa katika filamu
nchini Niva Zubery amekuwa akiweka status zikimhusu mwigizaji mwenzake
Wema Sepetu na baadhi ya mashabiki wa mastaa hao na wasomaji wa
Swahiliworldplanet kutaka kuupata ukweli kama mastaa hao ni wapenzi kwa
siri au lah. "nyie swp hembu muulizeni Niva kama mtu wake kwasasa ni
Wema coz status zake ni za kuchombeza kwa bibieee then kama wako close
sana siku hizi, maskini kaka wa watu kaoza kwa wema tayariii !" alisema
shabiki mmoja wa kike aliyekataa kutajwa jina lake. Status za Niva
zinaonekana kama kuchombeza kitu flani kwa Wema kwa mujibu wa wasomaji
walioitonya SWP. Baadhi ya status hizo za Niva katika facebook yake ni
hizi hapa "Baaabaa eti wewe upo na wemaa?
(Apana mwanangu) huku akiwa ameweka picha yake mwenyewe na ya mtoto
anayedaiwa kuwa wake", nyingine iko hivi "Niva hanipokerei cm jamaani mwambieni basi kama nampigiaa mwambieeni nawaomba tafazalii" huku akiwa amepost picha ya Wema Sepetu akiwa ameweka simu sikioni".
Status nyingine akiwa ameweka picha hiyo hapo chini wakiwa pamoja na Wema ilisomeka hivi "Etiiiiiii kama tunamuaa kuwa nanihiii na nanihiii itakuwa poa? basi nipe maoni yako ili nijue simmeshajua nilicho maanisha so nataka jibu ili nijue". Baadhi ya wachangiaji walimwambia Niva kuwa wakiwa wapenzi yeye na Wema watapendeza huku wengine wakimwambia kuwa Wema sio hadhi yake, wengine walimwambia ajaribu bahati yake kama tayari ameshamzimikia mrembo huyo. Ili kuupata ukweli kutoka kwa Niva mwenyewe kama baadhi ya wasomaji walivyotutumia ujumbe mwanzoni ilibidi kumtafuta Niva jana na kumueleza kila kitu na yeye alikataa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema na alipoulizwa kama kweli sio wapenzi status zake zikionekana kwa mtu wa Wema si zinaweza kuzua tafrani? Niva alijibu kwa ufupi kwa kusema "hakuna kitu kama hicho kaka" Niva na Wema |
GADNA AFUNGUA MILANGO KWA WASANII
MTANGAZAJI aliyejizolea umaarufu kupitia kipindi chake cha Maskani kinachorushwa katika kituo cha redio Times, Gadna G. Habashi ameweka mikakati ya kutoa nafasi ya kucheza muziki wa kizazi kipya ndani ya kipindi hicho bila ya kuchagua.
Gadna ambaye anaamini kuwa kipindi cha redio kinapendezeshwa kwa kupiga muziki, hivyo kwa upande wake anaamini kipindi chake kinaboreshwa na muziki hususani wa bongo fleva.
Mtangazaji huyo aliweka wazi juu ya mikakati hiyo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi, ambapo alisema njia hiyo ni moja ya mikakati yake ya kutoa fursa kwa wanamuziki wa hapa nchini, ambayo inaonekana wengine wanakosa kwenye redio nyingine.
"Unajua mimi nisipopiga muziki kipindi hakipendezi, hivyo nikipiga muziki huo kwanza ni njia ya kuutangaza muziki pamoja na msanii mwenyewe bila ya kubagua muziki huu ni wa nani?" alisema Gadna.
Alisema kwenye kipindi chake hachagui ni mwanamuziki gani apige nyimbo zake, bali anachokifanya ni kuangalia jamii inahitaji burudani ya aina gani.
Gadna ni mtangazaji anayeamini kuwa neno la kutoa fursa linaendana na vitendo, hivyo moja ya kitendo anachokiamini kinachowasaidia wasanii nyumbani ni kupiga nyimbo zao kwenye redio, ili kumuwezesha msanii afahamike na aweze kupata shoo.
Subscribe to:
Posts (Atom)