Sunday, June 09, 2013
Saturday, June 08, 2013
WENGI WANACHANGANYA MAMBO, ILA HUU NDIO UHUSIKA WA BIG BROTHER NA FREEMASON
WATU WANASEMA MANENO UUMBA, INAWEZA KUA KWELI AU SI KWELI. JIONI HII WAKATI NIKIZUNGUKA ZUNGUKA NIMEKUTANA NA PICHA HAPO JUU IKIICHAMBUA LOGO MPYA YA BIG BROTHE. KAMA UNAVYOONA HAPO JUU KATIKA PICHA UTAONA KUA LOGO HIYO INAHUSISHWA NA MAMBO YA FREEMASON. UKIANZA NA HILO JICHO PAMOJA NA VITU VINGINE.
SO KAZI KWAKO KUCHAMBUA PUMBA ZIPI NA MCHELE UPI.
Aliyekuwa na Ngwair "M 2 The P" Aongea na Kusema Haya...!!!
'M 2 the P' ambaye awali naye aliripotiwa kuwa amefariki kabla ya taarifa hizo kukanushwa, alisema jana kuwa hadi sasa hajui nini kiliwatokea.
Msanii huyo alisema kwamba hakumbuki kilichotokea hadi wakazidiwa na kukimbizwa hospitali wakiwa hawajitambui.
Alisema pia bado anajisikia anaumwa hadi sasa licha ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya St. Hellen Joseph ya Afrika Kusini alikokuwa amelazwa.
chanzo:Nipashe
Msanii 'M 2 the P' ambaye alikuwa na marehemu Albert Mangweha nchini Afrika Kusini wakati rapa huyo anafariki na yeye pia kuzidiwa hadi kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi, alihudhuria mazishi mjini Morogoro juzi.
Msanii huyo alisema kwamba hakumbuki kilichotokea hadi wakazidiwa na kukimbizwa hospitali wakiwa hawajitambui.
Alisema pia bado anajisikia anaumwa hadi sasa licha ya kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya St. Hellen Joseph ya Afrika Kusini alikokuwa amelazwa.
chanzo:Nipashe
Msanii 'M 2 the P' ambaye alikuwa na marehemu Albert Mangweha nchini Afrika Kusini wakati rapa huyo anafariki na yeye pia kuzidiwa hadi kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi, alihudhuria mazishi mjini Morogoro juzi.
MAGARI MATANO YALIYOWAHI KUTUMIWA NA HAYATI BABA WA TAIFA ENZI ZA UHAI WAKE
Leo tupo katika utalii wa ndani kwa kutazama baadhi ya magari aliyotumia Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa harakati za Uhuru na baada ya Uhuru mpaka alipofariki Oktoba 14,1999. Maelezo ya makala haya ni kwa mujibu wa nyaraka zilizopo Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam hasa kuhusiana na magari na miaka ya magari yalipotumika. Fuatana nasi.
1.AUSTIN MORRIS A-40
AUSTIN MORRIS A-40
|
Gari aina ya Austin Morris A-40 lilitengenezwa nchini Uingereza kati ya mwaka 1940 – 1950. Ni gari la kwanza kutumiwa na Baba wa Taifa na Rais wa kwanza Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
SHOW YA SNURA YAACHA WANAUME MIDOMO WAZI, KWELI MAJANGA
Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.
MWIGIZAJI WA KIKE WA BOLLYWOOD “JIAH KHAN” AJIUA IKSA MAPENZI
Muigizaji
maurufu ambae ni mmoja kati ya wanadada warembo nchini India
anaejulikana kama “Jiah Khan” amekutwa amekufa juzi kwa kujiua baada ya
kujua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine….
Mama
yake na Khan amesema kua alirudi na kukuta mwili wa mtoto wake akiwa
ameshakufa huku Police wakiwa bado wanachunguza chanzo cha kifo cha
mrembo huyo ila baadhi ya majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na
kusema kua wanachujua mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake…..
Jiah
Khan amefariki wakiwa na Miaka 25 na alijipatia umaarufu mkubwa Inchin
india baada ya kuigiza na mkongwe wa tasnia ya movie anaijulikana kama
Amitah Bachchan na pia aliweza kuigiza na Aamir Khan na Akshay Kumar kwa
wale mnaofatilia Bollywood Movies hakika mnawatambua hawa.
mwili wa Jiah Khan ulipelekwa Hospital kwa uchunguzi zaidi…..
Khan
alizaliwa New York na akakulia London kabla ya kwenda Mumbai India na
kujiingiza kwenye mambo ya sanaa ya uigizaji wa filamu…
Filamu yake ya Mwisho kuigiza inaitwa Housefull ambayo ilitoka mwaka 2010..
TAZAMA VIDEO YA MAZISHI YAKE HAPA
Popout
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amekiri kuwepo kwa vitendo ngono UDOM.
SPIKA
wa Bunge, Anne Makinda amekiri kuwepo kwa vitendo vya unyanyasaji wa
kijinsia na rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu
cha Dodoma (UDOM) na hivyo kukataa mwongozo wa mbunge akisema hali iko
hivyo.
Makinda
alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati Bunge likiwachagua
wawakilishi wake katika mabaraza ya vyuo na SADC-PF, ambapo Naibu
Waziri wa Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu aliuliza swali hilo la
uwepo wa vitendo vya rushwa ya ngono.
Mwalimu
alimuuliza mmoja wa wagombea, Murtaza Mangungu (CCM) kuwa UDOM
imekithiri kwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia kwa wanafunzi wa
kike kuombwa rushwa ya ngono na baadhi ya wahadhiri wasio waadilifu.
Naibu waziri huyo alitaka kujua, Mangungu ataondoshaje kero hiyo kwa
wanafunzi wa kike chuoni hapo, endapo atachaguliwa kuwa mjumbe wa
baraza.
Katika
majibu yake, Mangungu alisema kuwa atashirikiana na wenzake
kuhakikisha wanaondosha kero hiyo kwa wanafunzi wanaofanyiwa vitendo
hivyo.
HOUSE GIRL AJINYONGA KISA PENZI LA CHRISTOPHER...!!
Mfanyakazi
wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa nyumbani kwa bosi wake eneo la Kitunda jijini Dar kwa wivu wa mapenzi.
Devotha
alikuwa katika penzi na kijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la
Christopher anayedaiwa kuwa na wapenzi wengi kiasi cha kusababisha
marehemu kuchukua uamuzi huo.
Baada ya kuagwa mwili wa Devotha umesafirishwa kuelekea Njombe kwa mazishi.
Friday, June 07, 2013
NGONO ZAANZA KUTAWALA JUMBA LA BIG BROTHER.....VIDEO YA BOLT NA BETTY YANASWA WAKIFANYA MAPENZI LIVE
Mpaka sasa tayari tumeshuhudia couple 4 za housemates katika Big Brother ‘The chase’ , lakini couple ya mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt ndio ilikuwa ya kwanza kufahamika katika wiki ya kwanza toka mchezo uanze (May 26).
Couple
ya Bolt na Betty ndio ilikuwa ya kwanza pia ku’kiss kama uthibitisho
wa ‘love at first sight’. Baada ya hapo maisha ya mjengoni yaliendelea
vizuri huku mapenzi ya ‘love birds’ hawa yakizidi kukua kila kukicha
japo waliamua kupeleka mambo taratibu.
Lakini wiki hii inaonekana kiu ya toka (May 26) iliwakaba ‘love birds’ hawa na kuamua kuikata kwa kufanya
kile wanachofanya wapenzi wanapokuwa faragha (watu wazima naamini
mnanielewa) yes , they did it! Bolt iliifunga nut ya Betty usiku wa
manane wakati washiriki wenzao wakiwa wamelala!!
Ikiwa
ni sehemu ya kujaribu kuyaokoa mapenzi yao, wiki hii baada ya Betty
kutwaa ukuu wa Diamond House (HOH) aliweza kupata mamlaka ya kumuokoa
mshiriki yeyote anayekuwa ameingia kikaangoni.
Hivyo
aliitumia nafasi hiyo kuliokoa penzi lake kwa kumuokoa Bolt ambaye
alikuwa amependekezwa kuingia kikaangoni, na kumchagua Feza Kessy wa
Tanzania aingie kikaangoni badala ya kipenzi chake.
video mbili za uchafu wao...
TANGAZO KWA WAKAZI WA MBEYA
Nafasi za Kazi na Mafunzo
SIFA:
>>> Elimu ya kidato cha nne au zaidi.
>>> Taaluma ya uandishi wa habari ni added advantage.
>>> Uwezo, ufahamu, utundu, uzoefu, na ujuzi katika matumizi ya "Mitandao ya Kijamii" ndio kigezo kikuu.
>>> Umri miaka 18 na kuendelea.
>>> Uchapakazi, kujituma, creativity na ubunifu katika masuala ya mitandao ya kijamii ni vigezo muhimu.
>>> Awe mkazi wa Mbeya Mjini.
NAFASI ZILIZOPO NI NNE KAMA VIGEZO VITAKIDHIWA.
FIKISHA MAOMBI YA KAZI OFISI YA JIGAMBE (MbeyaCity.com) ILIYOPO KATIKA YA SAE NA ILOMBA OPPOSITE/MKABALA NA MASHOKO BAR.
SIFA:
>>> Elimu ya kidato cha nne au zaidi.
>>> Taaluma ya uandishi wa habari ni added advantage.
>>> Uwezo, ufahamu, utundu, uzoefu, na ujuzi katika matumizi ya "Mitandao ya Kijamii" ndio kigezo kikuu.
>>> Umri miaka 18 na kuendelea.
>>> Uchapakazi, kujituma, creativity na ubunifu katika masuala ya mitandao ya kijamii ni vigezo muhimu.
>>> Awe mkazi wa Mbeya Mjini.
NAFASI ZILIZOPO NI NNE KAMA VIGEZO VITAKIDHIWA.
FIKISHA MAOMBI YA KAZI OFISI YA JIGAMBE (MbeyaCity.com) ILIYOPO KATIKA YA SAE NA ILOMBA OPPOSITE/MKABALA NA MASHOKO BAR.
The Boss lady Huddah Monroe na Prezzo Mapenzi Tele, Diva Aamua Kuweka Picha ya Nusu Uchi Kupoteza Soo
Prezzo akiwa na huddah jana muda mchache baada ya lady boss kutua katika ardhi ya kenya.. ahahahahahah prezzo kajiachiajeee!!!
Baada
ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo ndani ya
mtandao huo wa twirraa, dada yetu akaamua kuweka picha yake
ya.....(sijaielewa sijui AVI na hii ahahahha samahani lakini) ili
kupotezea soo hilo..
ahahahahah Sasa bado hatuelewi kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!! #okeee
Source: Zeddylious blog
ahahahahah Sasa bado hatuelewi kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!! #okeee
Source: Zeddylious blog
HUYU NDO MBUNGE ALIYEHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI KUMI, HILI NDO KOSA ALILOFANYA
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM) amehukumiwa kifungo cha miezi 10 baada ya kupatikana na hatia ya kutishia kuua, Mbunge huyo (51) alifikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza Oktoba 10 akidaiwa kutishia kumuua Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ruiwa, Mbarali, Jordan Masweve.
Kabla ya kusoma hukumu hiyo leo Mbunge aliomba Mahakama impunguzie adhabu, kwani ana watoto watano kati yao wawili wanasoma Chuo Kikuu na wananchi wanamtegemea kuwasilisha matatizo yao bungeni.
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, Michael Mteite, alisema ameridhika na ushahidi wa upande wa mashitaka ukiongozwa na mawakili wa Serikali, Epimack Mabrouk na Griffin Mwakapeje, pia mawakili wa upande wa mashitaka walimwomba Hakimu Mteite kutoa adhabu kali kwa mshitakiwa, ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hiyo.
"Kutokana na maelezo hayo na ushahidi ulioletwa mahakamani, ninakuhukumu kifungo cha miezi 10" alisema Hakimu Mteite.
Mbunge akihojiwa katika chumba cha mahakama alisema unajuwa siku hizi haki inatendeka pale tu iwapo mwanaCCM ametiwa hatiani, lakini kama ni mpinzani ametiwa hatiani utasikia ooh kaonewa au hii ni hukumu kutoka ikulu, hata hivyo alisema atakata rufaa katika hukumu hiyo
SAKATA LA DADA MTANZANIA KUNYONGWA WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE YASEMA..
Dada anaetuhumiwa kukamatwa na madawa ya kulevya. |
Akizungumza
na Gazeti la Mwananchi jana Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Wizara ya
Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Mkubwa Ali, alikiri kukamatwa kwa
watu hao (majina yanahifadhiwa) ambao mmoja ni mkazi wa Ilala na
mwingine wa Magomeni jijini Dar es Salaam. “Taarifa tulizonazo zilizo
rasmi kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Misri kwa sasa ni kukamatwa kwa
Watanzania wawili waliokuwa wakisafirisha heroin kuelekea Bara la Asia
na walikamatwa nchini Misri wiki mbili zilizopita.”
“Tumewasiliana na balozi wetu nchini Misri amesema hana taarifa za kuhukumiwa kunyongwa kwa watuhumiwa hao, isipokuwa wameshasomewa shtaka lao la awali. Wapo rumande kwa sasa kwani kesi hiyo imetajwa mara moja tu. Balozi amekiri kushikiliwa kwa watuhumiwa hao wakiwa na dawa zinazoaminiwa ni za kulevya,” alisema.
Alisema watuhumiwa wote wanashikiliwa polisi na wanatarajia kufikishwa mahakamani wakati wowote.
Video inayomwonyesha mmoja akikaguliwa na maofisa wa polisi wa nchini Misri na kukutwa na dawa hizo, ilisambaa siku nne zilizopita katika mitandao mbalimbali ya kijamii.,
Subscribe to:
Posts (Atom)